Bwana asipoijenga nyumba,waijengao wafanya kazi bure!
Bwana asipoulinda mji,Yeye aulindaye akesha bure (Zaburi 127:1)
Tazama wana ndiyo urithi wa BWANA,Uzao wa tumbo ni dhawabu! Kama mishale mkononi mwa shujaa,ndivyo walivyo wana wa ujanani...Zaburi 127:3
No comments:
Post a Comment